BRIAN OMAE ALIMARUFU KAMA O-MAE a.ka O DASH

Brian Omae alimarufu kama O-mae a.k.a O Dash ni msani wa kizazi kipya anaefanya mziki kwa mtindo wa kufoka(rap), ni mtunzi wa mziki, pia ni muandaji wa mziki wa muda mrefu sana jiji Nairobi kenya, alianza uandaji wa muziki rasmi 2009 baada ya kuzunguka Studio kadha kwa lengo lakutaka kurekodiwa kama msani ikashindikana ndipo aliamua kujifunza uandaji wa mziki kutoka kwa rafiki yake aliekua muandaji mziki na ujuzi mwingine akaupata kupitia mtanda wa YouTube, alipojua kuanda mziki O-mae  alianzisha studio yake maeneo ya Pipiline Embakasi akaipa jina la Basslyn Music kutokana na ubora wake wa uandaji wa mziki
O-mae alipata deal ya kuwarekodi master kadha kama Labala toka kundi la Wakamba Wawili, Wendy Kimani aliyeshiriki Tusker Project, Nonini na wengine kibao.

O-mae aliwai kujitengenezea vibayo kadha zinazofanya vizuri sana kwenye radio na televisheni  kama KISS TV na KTN baadhi ya vibao zake zinazotamba kwa sasa ni NIKO NA SHAMBA TURUKANA, POROJO NA LOOKING BACK ambazo zote zipo kwa mtanda wa youtube.
O-mae leo akiendeleakuzungumza na mwandishi wetu amesema anaachia kibao kipya kabisa kiitwacho U & I,kibao hicho kitakuwa zawadi kwa mashabiki wake wa kenya,Uganda na Tanzania "mashabiki wangu sasa mkaee mkao wakupokea video kali ya kibao hichi  cha U & I,maandalizi ya video  yameshaandaliwa na Director recky beko ndie atakae husika, nimeakikisha anapata kila kitu anachoitaji kwa video iliiwe video ya kuingwa kote Afrika ya mashariki "alisema O-mae.
Usipitwe na chochote kutoka OBASCO ONE NEWS.



No comments

Disqus Shortname

LIVE COMMENTS

YOUR COMMENT OUR PRIORITY
kuuuuuuuuuuuuuuuuuuma. Powered by Blogger.