NYIMBO ZA DIAMOND NDIO HUTUMIKA KAMA TULIZO LA WANYONGE WA MAPENZI.
Diamond platinum ambaye jina lake kamili ni Nasib Abdul ndiye msanii ambaye nyimbo zake hutumika kama tulizo la wanyonge wa mapenzi, Diamond ametokea kwenye familia ya hali ya chini kabisa akilelewa na mama yake baada ya baba yake mzazi kumkata.Diamond amekuwa akitoa vibao zinazogusa jamii bila kubagua mkubwa wala mdogo aswa walio kwenye misukosuko ya mapenzi, kwani wakisikia mashairi ya platinum inakuwa ni tulizo tosha kwao.
Kutokana na ubora nyimbo zake bwana Nasib kwasasa yeye ndiye msanii ambaye anaweza kujaza ukumbi mkubwa sana na akiwa jukwani hufanya hufanya watoto wakike kulia na kutamani kumgusa kifua aliyotengeneza kwa mazoezi na tumbo ndogo yenye mira 6 za kuwavutia wasichana. Diamond pamoja na kuwa marufu na pesa amepitia misukosuko kadha ya mapenzi ata aliwai sema pia yeye huwaachwa na akaumia sana na ata ukiaikiliza nyimbo kama MAWAZO utakubaliana nae.Diamond aliachia vibao yenye funzo ya penzi kama vile Ukimwona,Lalasalama,Ninataka kulewa,Mbagala, na zingine kibao ila kwasasa habari ya mjini ni ngoma yake alioachia wiki chache zilizopita kwa jina la utanipenda inaendea kukonga nyoyo za watu ikiwa na video ya kushangaza wengi kutokana na wahusika kwenye video hiyo.

Leave a Comment