DIAMOND ATAKA WASANI WASIMUELEWE VIBAYA
wasanii wasichukulie Vitofaouti mimi kumsainiRich avoko ni biashara zaidi ndio maana Unaona
Kama YOUNG MONEY /CASH MONEY ina wasanii kama kina BUSTA RHYMES, LIL
WAYNE, DRAKE wasanii wengi wanatokea CASH MONEY kwasababu ilitengenezwa
na misingi mizuri ya uhakika na WCB ina misingi ya uhakika, tukitoa kitu
inakuwa kitu kweli “Anasemaa DIAMOND PLATNUMZ.
Leave a Comment